Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili Mozambique Daily News
409 Episodes
1 – 20

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.03.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Kutoka Kwa SAMIM kunapendelea magaidi, asema mtalamu 🔸 Achilia watu waliotekwa nyara na magaidi huko…
28 Mar 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Quissanga na Ibo wanasubir rasilimali kuletwa na ndege Kuanza sensa 🔸 Marekani inapanga kuchangia dola milioni…
26 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Serikali hutoa bidhaa kwenye masoko baada ya uporaji wa magaidi 🔸 Majeshi waimarisha doria katika ufuo…
21 Mar 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.03. 20244

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi aonya kuwa magaidi wataweza kugawanya inchi 🔸 Mocimboa da Praia yapokeya meli ya kwanza ya…
19 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.03. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 CDD inadai uwajibikaji kutoka Kwa Namparas Kwa uhalifu dhidi ya mawakala wa kitengo Cha uchaguzi 🔸…
13 Mar 4PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 12.03. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 12.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wa wanamaji wa Mozambique watuhumiwa Kwa kushambuliya boti za Raia Huko Cabo Delgado 🔸 Naparmas…
12 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 07.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 07.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Mashambulizi mapya yalazimisha kufunga shule 40 wilaya ya Chiure 🔸 Tume ya uchaguzi yakikisha sensa ya…
6 Mar 11PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 05.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi warejea kushambuliya makao makuu ya wilaya ya Quissanga 🔸 Raise Nyusi aahidi hatua Kali dhidi…
5 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 29.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Serikakali yasema hakuna mashariti ya kutangaza hali ya dharura Huko Cabo Delgado 🔸 Mlipuko mpya wa…
29 Feb 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 27.02.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 ExxonMobil yaahaidi kufazili Cabo Delgado. 🔸 KOIKA na mpago wa chakula duniani kujiunga na juhudi za…
26 Feb 11PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.02.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wafanyabiashara wa Cabo Delgado wahofia kuongezeka kwa uvamizi wa magaidi 🔸 Magaidi wachoma Lori na…
23 Feb 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.02.2024. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa: 🔸 Nyusi hajafirahishwa na onyo kutoka kwa ubalozi wa ufaransa kuhusu Cabo Delgado 🔸 Gavana wa Cabo Delgado…
19 Feb 11PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Miradi ya gesi Huko Cabo Delgado yasababisha tofauti za kijami 🔸 Magaidi washambulia Mazeze wilaya ya…
15 Feb 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Takribani wanajeshi 25 wa Mozambique wauwawa katika wilaya ya Macomia 🔸 Ukosefu wa usalama unaongezeka kutokana…
13 Feb 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wilaya ya Metuge inawakaribisha zaidi ya watu 77.000 waliokimbia makazi Yao 🔸 Urusi Iko tayari kusaidia…
7 Feb 11PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 06.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 06.02.2024. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Zaidi ya Vijana 100 waachana na uasi Huko Cabo Delgado. 🔸 Jaribio lá kuajiri Vijana…
6 Feb 12AM 3 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 01.Februari.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 INGD taasisi ya kitaifa ya kudhibiti na kupunguza hatari za majanga inatafuta wasaidizi Kwa familia…
1 Feb 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.01.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30.01.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Rais wa Mozambique hakubali hali ngumu Huko Cabo Delgado 🔸 Walimu bila ya mshara kwa…
30 Jan 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.01.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.01.24.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Wanajeshi wa Mozambique wameacha nafasi ya kijeshi wilaya ya Macomia 🔸 Maka makuu ya Wilaya ya…
25 Jan 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.01.2024

Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tareh 23.01.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado. Viswa vikulu ya habari ndivi: 🔸 Wachambuzi wa siasa wakwamini kamba vikidilika kupakanila na mashababi 🔸 Ndegue wa Afrika do Sul kamotesiwa kwa…
23 Jan 1AM 5 min
1 – 20