Swahili

Podcast shows

Kizazi njia panda - Awamu ya 1: Maamuzi magumu yanayotukabili

Series · Deutsche Welle - Learning By Ear
Bongo Academy ni shule ya fahari. Ni shuleni hapo wanapokutana nyota wa mchezo huu Mercy, Trudy, Dan na Niki - vijana wanne wanaotoka kwenye mazingira na matabaka tofauti. Na wala hawajui changamoto zinazowasubiri. “Nimesimama kwenye njia panda, nikijaribu kuwa jasiri. Nigeukie wapi? Natokea wapi?'' Mashairi haya ya muziki wa Rap…
6 Jan 2015 26 episodes Swahili Health & Fitness

Kizazi njia panda - Awamu ya 2: Kukabiliana na athari

Series · Deutsche Welle - Learning By Ear
Katika mchezo wa Kizazi njia panda, tunaingia kwenye awamu mpya ya mfululizo wa vipindi vipya vya Noa bongo - Jenga maisha yako. Hivi ni vipindi vya kuelimisha vinavyotayarishwa na Deutsche Welle kwa ajili ya vijana wa Afrika. Sikiliza awamu ya pili ili kukutana tena na nyota wa mchezo huu wa…
7 Jan 2015 26 episodes Swahili Health & Fitness