Sauti Ya Cabo Delgado 12.01.2023
--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 12,Januari.2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 SAMIM imeunda tume kuchunguza kuchomwa kwa mili ya magaidi.
🔸 Magaidi sita wameuwawa na majeshi wilaya ya Muidumbe.
🔸 OIM wamesajili takriban watu 2000 waliokimbia makazi yao ndani ya wiki mbili.
Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:htts//iono.fm/e/123756.
Plural media habari kwa lugha yako.