Sauti Ya Cabo Delgado 24.01.2023

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 24,januari,2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Video ambayo wanajeshi walichoma Maiti ilirekodiwa wilaya ya Nangade.

🔸 Magaidi wamijisalimisha katika wilaya ya Nangade.

🔸 Idade ya watu wa Palma wanataka ufungoliwe tena mpaka.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za Kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno,kimakonde,kimakuwa,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:htts//iono.fm/e/123756.

Plural Media habari kwa lugha yako
23 Jan 2023 11PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 29.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Waasi wazidisha matumizi ya vilipuzi huko Cabo Delgado 🔸 Serikali yanfunga mwangalizi wa CIP Kwa tuhuma…
29 Aug 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Gavana wa Cabo Delgado Apeleka mifuko ya saruji Kwa wajama waliokimbia vita 🔸 Umoja wa ulaya…
23 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Mlipuko wa Bomu za ndege Katika eneo la Mucojo huenda walikufa raia 🔸 Waokolewa wavuvi 70…
17 Aug 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 07.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,07.08.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Majeshi ya Mozambique na Rwanda wanzisha mashambulizi Wilaya ya Macomia. 🔸 Kamanda mkuu wa Police aomba Radhi…
7 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.07.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 30.07.2024 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Mantendo ya Magaidi yazua taharuki Ancuabe 🔸 Police yankamata mtu anayedaiwa kuhusu hatia na Magaidi…
30 Jul 1AM 4 min