Sauti Ya Cabo Delgado 02.02.2023

--:--
Habari Gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 02,februari,2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana n Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Mashirika ya uchaguzi tayari yanafanya kazi Mocimboa da Praia.

🔸 Tanzania itatuma Jeshi zaidi Cabo Delgado.

🔸 Walimu 13 wamefariki Dunia na mashambulizi ya kigaidi huko Cabo Delgado katika kipindi Cha miaka mitatu ilyopita.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokaya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakowa,kimakonde,kimuani ma kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536.

Plural Media habari kwa lugha yako.
2 Feb 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 30.03.2023

Habari gani ,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30,Machi 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Wafanyakazi katika mgodi wa ruby Uko Montepuez wamegoma tangu jumatatu, 🔸…
30 Mar 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo tarehe 28,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Madakitar wasiona na mipaka wanasema hali katika Cabo Delgado si mzuri. 🔸…
28 Mar 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 23 Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu 🔸 Jumuiya ya wafanyabiashara inalalamika mikataba ya ujenze kwenda Kwa watu wa inje. 🔸…
23 Mar 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 21,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wamepanda Kijiji cha ulo wakitafuta chakula. 🔸 Hospitali ya Mocimboa da Praia na…
21 Mar 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Machi 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu . 🔸 Majeshi Waliziwiya Jaribu lá kushambulia nsafara wa kijeshi huko Muidumbe. 🔸…
16 Mar 1AM 7 min