Sauti Ya Cabo Delgado 07.02.2023
--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 07,februari,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 TotalEnergie inatathimini ali ya usalama na kibinadamu ili kuanza tena Mradi huko Cabo Delgado.
🔸 Filipe Nyusi amesema kiongozi wa magaidi anajulikana.
🔸 Magaidi wamewaua watu 15 wilaya ya Meluco wiki iliyopita.
Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telegram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa: https://iono.fm/e/1237536