Sauti Ya Cabo Delgado 09.03.2023

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 09,Machi 2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

🔸 Vifo viwili vyathibitishwa katika shambulio la Mitope Mocimboa da Praia.

🔸 Watu wanaoshukiwa kuwa magaidi wamekamatwa Muidumbe.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcasts au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.Org.

Unaweza pia kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Média
9 Mar 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 25.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.Mei.2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 TotalEnergies imetoa ripoti juu tá Hali ya kibinadamu Huko Cabo Delgado. 🔸 Waasi wamiwateka nyara watu…
25 May 1AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.Mei.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kundi la askari linajarinu kushambulia Kijiji cha chai. 🔸 Shule zinafanya kazi Huko Cabo Delgado chini ya…
23 May 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kambi ya vikosi vya Africa kusini vimishambuliwa na magaidi. 🔸 Raia amepigwa risasi na majeshi ya Rwanda…
18 May 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. Wazir wa mambo ya Ndani amesisitiza kuwa mpaka wa na moto unafunguliwa mwaka huu. 🔸 Kituo cha…
16 May 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 11,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Madai ya kutoka Wanajeshi wilaya ya Mocimba da praia kunawatia wasiwasi wafanyabiashara. 🔸 Kikosi cha pili…
11 May 12AM 5 min