Sauti Ya Cabo Delgado 23.11.2023
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.11.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Shambulio Jipya Huko Muidumbe limesababisha vifo vya watu wawili na kutekwa nyara Kwa wanawake 11.
🔸 Kipimo cha kupima uwiano wa kijami kilichapishwa katika wilaya ya Chiura na Montepuez.
🔸 China imetoa nyenzo mbali mbali kwa SAMIM.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.