Sauti Ya Cabo Delgado 12.12.2023
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 12.12.23.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kambi ya Majeshi imeshambuliwa wilaya ya Muidumbe
🔸 Ujerumani inatetea juhudi katika mapabano dhidi ya ugaidi huko Cabo Delgado
🔸 Wachimba migodi haramu watatu wamejeruhiwa katika mapigano na polísi huko Nama Montepuez.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno kimakuwa kimakonde kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.