Sauti Ya Cabo Delgado 10. 01. 2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 10.01.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Watu sita wamekufa katika shambulio lingine lá kigaidi huko Cabo Delgado.

🔸 Shirika lá MSF wanaomboleza kifo cha mfanyakazi wawo katika shambulio la kigaidi huko Mocimboa da Praia.

🔸 Jeshi lá wagambo linaomba sílaha kutoka Kwa mkuu wa wilaya Ili kipigana na magaidi huko Mocimboa da Praia.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
10 Jan 2024 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Pundanhar inaludi Katika hali ya Kawaida baada ya shambuliio 🔸 Zaidi ya Shule 80…
7 Feb 5AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari. Wilaya mbili za Cabo Delgado zinakabiliwa na kipindupindu.: 🔸 Takribani watu wawili waliuawa Katika shambulizi…
31 Jan 2AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda 🔸 Watu wasiojulikana uleta hofu Katika…
24 Jan 2AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 17. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya Cabo Delgado terehe 17.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Daniel Chapo anaahidi kuimarisha Jeshi Katika juhudi za kukabiliana na waasi huko Cabo Delgado 🔸 Watu…
17 Jan 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 10. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 10.10.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Kazi ya kuchimba grafite ya Ancuabe zimisimama zaidi ya miaka miwili 🔸 Wathiriwa wa…
10 Jan 12AM 14 min