Sauti Ya Cabo Delgado 12.01.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 12.01.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Kampuni za Índia zinasisitiza ahadi za mradi wa gesi
🔸 Wimbi la habari potofu kuhusu kipindupindu husababisha vifo viwili Huko Cabo Delgado
🔸 Majeshi wa Mozambique wamepata bidhaa na silaha baada ya kushambuliwa Kwa magaidi Huko Huko Mocimboa da Praia.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.