Sauti Ya Cabo Delgado 18.01.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18.01.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
๐ธ Makao makuu ya wilaya ya Macomia Kwa mara nyingine tena wanapokeya idade ya watu kutoka katika vijiji vilivyoshambuliwa.
๐ธ Wamenusurika wasichana 40 kutoka kwenye ndoa za mapema
๐ธ Wakurima wa Mitope wamepokeya msaada wa kuzindua upya uzalishaji wa kilimo
๐ธ Tarifa potofu zimeenea kuhusu asili ya kipindupindu.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.