Sauti Ya Cabo Delgado 25.01.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.01.24.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

๐Ÿ”ธ Wanajeshi wa Mozambique wameacha nafasi ya kijeshi wilaya ya Macomia

๐Ÿ”ธ Maka makuu ya Wilaya ya Quissanga yaingiwa na hofu baada ya ziara ya kigaidi katika Kijiji kilicho Karibu

๐Ÿ”ธ Imefunguliwa balabala ya Macomia na Oasse.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
25 Jan 2024 12AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Magaide waua mtu Moja Meluco ๐Ÿ”ธโ€ฆ
21 Mar 5AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia ๐Ÿ”ธ Rwanda inatathimine Vyema utendaji wakeโ€ฆ
15 Mar 1PM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 03. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Ofisi ya mwendesha mashtaka inachunguza uhulifu na unyanyasaji wa vikosi vya usalama hilaya ya Palma ๐Ÿ”ธโ€ฆ
8 Mar 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 28.02.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Wanajeshi wawili waliuawa Katika shambuliio la kigaidi Wilaya Quissanga ๐Ÿ”ธ Mwanaharakati wa Kijami anakashifu unyanyasajiโ€ฆ
28 Feb 3AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 02. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Watu watatu wanaodaiwa kuwa magaide walipigwa risasi Wilaya ya Macomia ๐Ÿ”ธ Wafanyabishara wanamilkj sokoโ€ฆ
22 Feb 4AM 9 min