Sauti Ya Cabo Delgado 30.01.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30.01.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Rais wa Mozambique hakubali hali ngumu Huko Cabo Delgado
🔸 Walimu bila ya mshara kwa karibu miezi mitatu
🔸 Macomia imetengwa tena wilaya iliyoko kaskazini mwa Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno kimakuwa, kimakonde, kimuani, na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.