Sauti Ya Cabo Delgado de 06.02.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 06.02.2024. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Zaidi ya Vijana 100 waachana na uasi Huko Cabo Delgado.
🔸 Jaribio lá kuajiri Vijana laongezeka kaskazini mwa Nampula.
🔸 Wahalifu watumia watoto kuchimba madini kinyume cha sheria huko Nama.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.