Sauti Ya Cabo Delgado 08.02.2024
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Wilaya ya Metuge inawakaribisha zaidi ya watu 77.000 waliokimbia makazi Yao
🔸 Urusi Iko tayari kusaidia Mozambique katika Vita ya Cabo Delgado
🔸 Makundi ya dini Huko Niassa wahofia mashambulizi ya kigaidi huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.