Sauti Ya Cabo Delgado 20.02.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.02.2024. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa:
🔸 Nyusi hajafirahishwa na onyo kutoka kwa ubalozi wa ufaransa kuhusu Cabo Delgado
🔸 Gavana wa Cabo Delgado awakosoa wandishi wa habari wanaoripoti mashambulizi
🔸 OIM wamesajili zaidi ya watu 800 waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya hivi punde .
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.