Sauti Ya Cabo Delgado de 05.03.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Magaidi warejea kushambuliya makao makuu ya wilaya ya Quissanga
🔸 Raise Nyusi aahidi hatua Kali dhidi ya Magaidi
🔸 Wimbi Jipya la watu waliokimbia makazi yao laitia wasiwasi UNHCR.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.