Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2024
Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 04.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
๐ธ Magaidi waweka milango Mucojo.
๐ธ Kazi za ukarabati katika barabara ya Macomia oasse zimeanza.
๐ธ Kitengo cha uchaguzi jimbo la Cabo Delgado yasema imisajili 49% ya wapiga kura wanaotarajiwa.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au telmbelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamissi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Media habar kwa lugha yako.