Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado.

🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia.

🔸 Pemba kunaongezeka mahitaji ya maji.

Pata habari kuhuso Mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari Izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,Kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha Yako.
10 Apr 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 17.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 17.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rwanda watuma kikosi kipya Cabo Delgado. 🔸 Human Right watch inashutumu ushiriki wa watoto katika shambulio…
17 May 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi waacha maiti na alama za uharibifu katika Wilaya ya Macomia 🔸 Wanafursa waiba huko Macomia…
15 May 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wa Mozambique na wa Rwanda wanawafatilia Magaidi huko Nampula 🔸 Magaidi walioauwa na Majeshi wa…
9 May 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 07.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07 Mei,2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi asema ugaidi hauwezi kuhalalisha kukatizwa miradi ya Gesi 🔸 ADIN inachagua makampuni ya watu…
7 May 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,02.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wilaya ya Chiure, aina njia ya kuwahamisha watu waliokimbia makazi yao hadi vituo Vya Mapokezi 🔸 Polisi…
3 May 2AM 4 min