Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia.
🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya ya Quisanga.
🔸 Miili isiyo na uhai yapatikana katika wilaya ya Ancuabe.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari Izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, Kimakuwa, Kimuani na kiswahili.
Plural Média habari Kwa lugha Yako.