Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege
🔸 Wanajeshi wa Africa kusini waondoka Cabo Delgado
🔸 Maajenti wanne wakiuchume wamekamatua kinyume chá Sheria.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari Izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, Kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.
Plural Média habari Kwa lugha yako.