Sauti Ya Cabo Delgado 15.05.2024
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Magaidi waacha maiti na alama za uharibifu katika Wilaya ya Macomia
🔸 Wanafursa waiba huko Macomia baada ya Magaidi kuondoka
🔸 Maisha yarejea katika hali ya kawaida mji wa Macomia baada ya shambulio la ijuma.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani, na kiswahili.
Plural Medida Habari Kwa lugha yako.