Sauti Ya Cabo Delgado 30.07.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 30.07.2024 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa via Habari:

🔸 Mantendo ya Magaidi yazua taharuki Ancuabe

🔸 Police yankamata mtu anayedaiwa kuhusu hatia na Magaidi Pemba

🔸 ACLLN Nampula wako tayari kupambana na Ugaidi.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.
30 Jul 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 05.10.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 05.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: Cabo Delgado bado si salama a sema CIP. 🔸 Kituo cha afya chá Macomia kitafungua milango…
5 Oct 1AM 9 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Wanajeshi wa Mozambique wamesema Magaidi wamepoteza nguvu kwenye Pwani ya Macomia 🔸 Majeshi wa Mozambique huenda wakahusika na vifo vya raia Waliopatikana…
27 Sep 10AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.09.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media . Vichwa vya Habari wiki hiii: 🔸 Gavana wa Cabo Delgado ashauri thidi ya Kurudi Mukojo Maramoja. 🔸 Watu 17 wameukumiwa Kwa wahalifu wa kigaidi. 🔸…
20 Sep 11AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Waasi wazidisha matumizi ya vilipuzi huko Cabo Delgado 🔸 Serikali yanfunga mwangalizi wa CIP Kwa tuhuma…
29 Aug 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Gavana wa Cabo Delgado Apeleka mifuko ya saruji Kwa wajama waliokimbia vita 🔸 Umoja wa ulaya…
23 Aug 2AM 4 min