Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25.10.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.10.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

๐Ÿ”ธ Wachimbaji waliuawa baada ya Mapigado na police Katika migodi ya Ruby Huko Montepuez.

๐Ÿ”ธ Macomia na Quissanga sio tena maeneo yenye hatar kubwa, inahitibitisha ripoti ya umoja wa ulaya.

๐Ÿ”ธ Zaidi ya watu 500 waliokimbia makazi Yao walirejeya Katina maeneo yao ya asilli.

Pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.

Unaweza pia kusikiliza habari izi vituo vya Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez, na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, na Kimuani.
25 Oct 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20.12. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Mecufe kumeharibiwa kabisa na kimbunga Chido. ๐Ÿ”ธ Nyusi anawahomba wananchi waruhusu kampuni ya grafiteโ€ฆ
20 Dec 2AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13.12. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Magaidi wamiaribu miundominu huko Muaguide ๐Ÿ”ธ Polisi wanasema wandamanaji wa Pemba walitoka Nampula ๐Ÿ”ธโ€ฆ
13 Dec 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06.12.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Watu waliokimbia makazi yao Huko Chiure wanalalamika njaa ๐Ÿ”ธ Karibu vitengo elfu tano vyaโ€ฆ
6 Dec 1AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29.11.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.11.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Siricar wameruhusu watu waludi Mucojo. ๐Ÿ”ธ Famรญlia wanawakimbia Magaidi Chiure ๐Ÿ”ธ Viongizi via Kijeshiโ€ฆ
29 Nov 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22.11.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 22.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Kikosi Cha Kijeshi Cha Namparama waliuawa Huko Ancuabe ๐Ÿ”ธ Majeshi wa FADM wamenusuru mji waโ€ฆ
22 Nov 2AM 10 min