Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08.11. 2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 08.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Waasi Waua watu wawili Huko Muidumbe.

🔸 Mwaka wa Shule ulipotea Kwa wanafunzi wa Mazeze Huko Chuire.

🔸 Jeshi lá wanagambu linaendelea kulilia sílaha na vifa.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz .Org, ya Cabo Delgado,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org na unaweza kusikiliza habari izi kupitia,Redio za Kijami za Wilaya ya Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa kimakonde na Kimuani.
11 Nov 3AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29.11.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.11.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Siricar wameruhusu watu waludi Mucojo. 🔸 Família wanawakimbia Magaidi Chiure 🔸 Viongizi via Kijeshi…
29 Nov 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22.11.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 22.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Kikosi Cha Kijeshi Cha Namparama waliuawa Huko Ancuabe 🔸 Majeshi wa FADM wamenusuru mji wa…
22 Nov 2AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahilli 15.11. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 15.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Kuenea Kwa Magaidi kunasababisha watu kukimbia Muidumbe 🔸 Magaidi hushambulia eneo lá uzalishaji Huko Meluco…
15 Nov 4AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 01.11. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 01.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Kwasasa vichwa via Habari: 🔸 Magaidi Waua tena Cabo Delgado 🔸 Mtu momja auwauwa wakati wa Mandamano Katika Mji…
1 Nov 12AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25.10.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.10.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. 🔸 Wachimbaji waliuawa baada ya Mapigado na police Katika migodi ya Ruby Huko Montepuez. 🔸 Macomia na Quissanga…
25 Oct 1AM 10 min