Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahilli 15.11. 2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 15.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
🔸 Kuenea Kwa Magaidi kunasababisha watu kukimbia Muidumbe
🔸 Magaidi hushambulia eneo lá uzalishaji Huko Meluco
🔸 Índia inatoa meli mbili za kukabiliana na ugaidi.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la avoz.org ya Cabo Delgado,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org na unaweza kusikiliza habari izi kupitia, Redio za Kijami za Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.