Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06.12.2024
Loading player...
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa vya Habari:
🔸 Watu waliokimbia makazi yao Huko Chiure wanalalamika njaa
🔸 Karibu vitengo elfu tano vya Biashara ya kilimo vilifungwa Jimbo la Cabo Delgado
🔸 Zaidi ya vijana 400 walihitimu kozi mbalimbali za taaluma Katika mji wa Pemba.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.