Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 10. 01. 2025
Loading player...
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 10.10.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
🔸 Kazi ya kuchimba grafite ya Ancuabe zimisimama zaidi ya miaka miwili
🔸 Wathiriwa wa kimbunga Chido wanalamika kuhusu ukosefu wa usaidizi wa Kila kito
🔸 Chilika lá chakula Duniani limianza tena usaidizi baada ya kushambuliwa Lori Wilaya ya Metuge.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo, Kireno,kimakuwa, kimakonde na Kimuani.tembelea ukurasa wetu wa Whatsapp na telegram Ili kuchaguwa Luga yako.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avo.org,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.