Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31. 01. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari.

Wilaya mbili za Cabo Delgado zinakabiliwa na kipindupindu.:

๐Ÿ”ธ Takribani watu wawili waliuawa Katika shambulizi la kigaidi Katika Wilaya ya Palma

๐Ÿ”ธ Magaidi huwateka nyara watoto Wilaya ya Mocimboa da Praia

๐Ÿ”ธ Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.
31 Jan 2AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Magaide waua mtu Moja Meluco ๐Ÿ”ธโ€ฆ
21 Mar 5AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia ๐Ÿ”ธ Rwanda inatathimine Vyema utendaji wakeโ€ฆ
15 Mar 1PM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 03. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Ofisi ya mwendesha mashtaka inachunguza uhulifu na unyanyasaji wa vikosi vya usalama hilaya ya Palma ๐Ÿ”ธโ€ฆ
8 Mar 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 28.02.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Wanajeshi wawili waliuawa Katika shambuliio la kigaidi Wilaya Quissanga ๐Ÿ”ธ Mwanaharakati wa Kijami anakashifu unyanyasajiโ€ฆ
28 Feb 3AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 02. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Watu watatu wanaodaiwa kuwa magaide walipigwa risasi Wilaya ya Macomia ๐Ÿ”ธ Wafanyabishara wanamilkj sokoโ€ฆ
22 Feb 4AM 9 min