Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 02. 2025
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 28.02.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
๐ธ Wanajeshi wawili waliuawa Katika shambuliio la kigaidi Wilaya Quissanga
๐ธ Mwanaharakati wa Kijami anakashifu unyanyasaji wa kingono wa watoto wadogo huko Cabo Delgado
๐ธ Balama grafite itatumika Katika utegemezi wa magari ya umeme.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde, na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.