Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 03. 2025
--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa vya Habari:
🔸 Ofisi ya mwendesha mashtaka inachunguza uhulifu na unyanyasaji wa vikosi vya usalama hilaya ya Palma
🔸 Kampuni kadhaa zinaendelea na Athari za kimbunga Chido huko Cabo Delgado
🔸 Ushiriki wa Rwanda Katika mzozo wa DRC hauathiri msaada wa umoja wa ulaya Kwa Rwanda huko Cabo Delgado.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.