Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025
--:--
Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
๐ธ Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia
๐ธ Rwanda inatathimine Vyema utendaji wake kazi Jimbo la Cabo Delgado
๐ธ ADIN inafadhili mashirika ya ndani kaskazini mwa Mozambique.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado, kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda,Montepuez na Palma.